Fuatilia mzigo wako
Weka namba ya kumbukumbu iliyo kwenye SMS au risiti yako, uone mzigo wako ulipofika.
Jinsi ya kufuatilia
Pata namba ya kumbukumbu
Iko kwenye SMS uliyotumiwa ulipokabidhi mzigo ofisini, na kwenye risiti yako.
Ona mzigo ulipo
Utaona kama umesajiliwa, uko safarini au umefika. Ukifika, mpokeaji hutumiwa SMS yenye namba ya kuuchukulia.
Maelezo kamili
Mtumaji au mpokeaji huona maelezo yote kwa kuthibitisha namba atakayotumiwa kwa SMS.
Unahitaji msaada kuhusu mzigo? Wasiliana nasi
